TCCA FAMILY DAY ILIVYOFANA

 watoto wa wafanyakazi wa mamlaka ya usafiri wa anga Tanzania TCCA,  walioshiriki katika Famillya Day wakishindana kukimbia namagunia.
 Wafanyakazi wa tcaa wakicheza mpira wa mikono vollybo wakati wa familly day iliyofanyika jijini Dar es Salaam,

 Wafanyakazi wa Mamlaka ya Usfiri wa Anga Tanzania (TCAA) Wakishindana kuvuta kamba wakati wa sherehe za familly day iliyofanyika jijini dar es salaam.

 watoto wakishindana kukukmbia na vijiko huku wameweka mayai