SIMBA YA OMAN YAREJEA BONGO TAYARI KUTOA DOZI

 Kocha wa Simba Patricl Liewing akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa JK Nyerere ambapo kikosi hicho kilikwenda kuweka kambi ya wiki mbili ambayo pia waliitumia kwa kucheza mechi tatu za kujipima nguvu.
 Nahodha wa Simba Juma Kaseja akiwasili
 Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya Simba ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Utendaji, Danny Manembe akisalimiana na wachezaji wa timu hiyo.


 Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' akisalimiana na nyota wa timu hiyo, Mrisho Ngassa.
 Ngasa