SIMBA, AZAM FC KUKWAANA NUSU FAINALI MAPINDUZI CUP

MABINGWA wa ligi kuu bara Simba Sc watakutana na Mabingwa wa kombe la mapinduzi Azam fc katika nusu fainali ya micchuano ya kombe la Mapinduzi itakayopigwa keshokutwa, katika uwanja wa Aman Visiwani zanzibar.