RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN ALIPOZINDUA MRADI WA ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICARais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akikabidhi Mipira kwa Ridhiwan B.Makame,wa Kaskazini A Unguja,wakati alipozindua mradi wa 'ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICA', mradi wa Ugawaji wa mipira kwa vikundi mbali mbali vya vijana katika kukuza vipaji vya Mpira wa Miguu hapa Nchini uliofadhiliwa na Shirika hilo chini ya usimamizi wa Mwakilishi wake Sandra Cress,(wa pili kulia) sherehe hizo zilifanyika jana katikamUwanja wa Amaan Studium, katika kuadhimisha Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.