RAIS JK ALIPOHUDHURIA MAZISHI YA SAJUKI

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya msanii Sajuki jana  katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki  wakati wa mazishi ya msanii huyo  jana katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam ujana.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' Tabata Bima jijjini Dar es salaam jana ambako walienda kutoa pole
 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es salaam jana.
PICHA NA IKULU