RAHMA ALKHAROOS, ZITTO, NKAMIA, RUGE NA MAGORI WAJUMBE KAMATI ZA SIMBA SC


Kamati ya Utendaji ya Simba imepitia na kuidhinisha majina ya wajumbe wa kamati mbalimbali za klabu lengo likiwa kuiboresha klabu na pia kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom na michuano ya kimataifa ambayo Simba inashiriki mwaka huu. 
Mwenyekiti wa Simba, Mhe, Ismail Aden Rage, anawapongeza wote walioteuliwa kwa ajili ya kazi hii na kuwatakia mafanikio mema katika kuijenga klabu ili iwe ya kisasa kama walivyo wajumbe wenyewe. 
Uteuzi huu wa wajumbe unaanza mara moja na wenyeviti wa kamati hizo wamepewa nguvu ya kuitisha vikao vya kamati zao mapema iwezekanavyo.

KAMATI YA UFUNDI
1.         DAMIAN MANEMBE-MWENYEKITI
2.         IBRAHIM MASOUD-MAKAMU MWENYEKITI
3.         CRESCENCIUS MAGORI
4.         KHALID ABEID
5.         SAID TULLY
6.         DR. KATEGILE
7.         ZAMOYONI MOGELA
8.         JOHN WILLIAM (DEL PIERO)
9.         YUSUFU MACHO
10.       JEFF LEA
11.       BITA JOHN
12.       SHABAAN BARAZA

KAMATI YA FEDHA
1.         GEOFREY IRICK NYANGE (MWENYEKITI)
2.         RAHMA AL KHALOOS-MAKAMU MWENYEKITI
3.         FRANCIS WAYA
4.         ZITTO KABWE
5.         JUMA NKAMIA
6.         RUGE MUTAHABA

KAMATI YA MASHINDANO
1.         SWEDY MKWABI-MWENYEKITI
2.         SAID PAMBA-MAKAMU MWENYEKITI
3.         SELEMANI ZEDDY. (MB)
4.         JERRY YAMBI
5.         IDDI KAJUNA
6.         CHAUREMBO
7.         GERLAD LUKUMAY
8.         HABBIB NASSA
9.         BUNDALA KABULWA
10.       CHARLES HAMKAH
11.       SAID RUBEYA
12.       ABDULFATAH SALUM (SAPHIRE)
13.       HATIBU MWINYI (BUSTA)
14.       ABDUL  MSHANGAMA
15.       HUMPHREY ZEBEDAYO
16.       MAJALIWA MBASSA
17.       SULEIMAN ZAKAZAKA
18.       KESI MOHAMED RASHID
19.       MOHAMED ISSA MBENA

KAMATI YA PROGRAMU ZA VIJANA
1.         IBARHIM MASOUD –MWENYEKITI
2.         RUGE MUTAHABA-MAKAMU MWENYEKITI
3.         JOSEPH ITANG’ARE-MJUMBE/MLEZI
4.         WILFRED KIDAU
5.         MOHAMED ABDALLAH
6.         SAID TULLY
7.         CANISIUS MASOMBOLA
8.         HAMIS MRISHO
9.         DAMAS NDUMBARO
10.       TALIB HILAL