MPIGIE KURA MISS UTALII TANZANIA 2012/13

Ili kuongeza ushiriki wa wananchi , Bodi ya Miss Utalii Tanzania imezindua Rasmi upigaji Kura wa kumpata mshindi wa taji la Miss Utalii Tanzania 2012/13 kupitia tovuti. Fulusa hii ni kwa watu wote ndani na Nje ya Tanzania. 

Bofya Link Hii kumpigia Kura Mrembo wa Mkoa wako ashinde: http://misstourismorganisation.blogspot.com/p/meet.html