MKUTANO MKUU WA TASWA @KIROMO HOTEL, BAGAMOYO

 Mgeni Rasmi, Ridhwan Kikwete akizungumza machache katika mkutano mkuu wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) uliofanyika katika Hoteli ya Kiromo, Bagamoyo
Baadhi ya Wajumbe wa Taswa akiwemo Ofisa Habari wa TFF, Bonifacw Wambura Kulia na Benny Kiwsaka Katikati

 Katibu Mkuu wa Taswa, Amir Mhando akizungumza machache kwenye mkutano huo
 Wajumbe Dina Ismail na Ibrahim Bakari
 Ridhwan katika picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Taswa

 Wajumbe wa Taswa, Mohammed Akida na SAleh Ally
 WAkujmbe wa Taswa wakibadilishana mawazo na mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Ahmed Kipozi aliyekuja kushuhudia mchezo baina ya Taswa Fc na Maveteran wa Bagamoyo katika uwanja wa Mwanakelenge.
 Wahamasishaji nao hatukukosekana kuwashangilia wenzetu waliokufa kiume