MFARANSA ASAINI MWAKA MMOJA NA NUSU SIMBA SC


Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akimshuhuidia kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig akisaini mkataba wa miezi 18 jana mchana katika hoteli ya Spice, Lumumba, Dar es Salaam.  PICHA KWA HISANI YA BIN ZUBEIRY


Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akisaini kwa niaba ya klabu mkataba wa kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig


Katibu wa Simba, Mtawala akiwaongoza Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu na kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig kusaini. Nyuma ni Meneja Moshi.  
Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange Kaburu akibadilishana mikataba na kocha mpya wa klabu hiyo, Mfaransa Patrick Liewig baada ya kusaini mkataba wa miezi 18 jana mchana katika hoteli ya Spice, Lumumba, Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu wa Simba, Evodius Mtawala na nyuma ni Meneja wa hoteli ya Spice, Mzee Moshi Omar Mbury. 


Mwanasheria wa Simba, Allan Maduhu (kulia) akigonga muhuri mkataba huo