MABONDIA MASHALI, MCOCIECH WAPIMA UZITO
Mabondia Thomas Mashali wa Tanzania (kushoto) na Benard Mcociech wa Kenya wakitunishiana Misuli baada ya kupima  Uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao wa Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika leo katika ukumbi wa Friends Corner Manzese 

Mabondia Thomas Mashali wa Tanzania (kushoto) na BenardMcociech wa Kenya wakitunishiana Misuli baada ya kupima Uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao wa Ubingwa wa Afrika Mashariki utakaofanyika leo katika ukumbi wa Frends Corner Manzese picha na www.superdboxing coach.blogspot.com