KOCHA MFARANSA ALIVYOTUA SIMBA SC JANA

Katibu wa Simba, Evodius Mtawala (kushoto) akiongozana na kocha mpya wa klabu hiyo, Patrcik Liewig baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam jana mchana. (picha na BIN ZUBEIRY BLOG)


Mtawala na Liewig


Liewig, Mwenyekiti mpya wa Kamati ya Ufundi, Dani Manembe na Mtawala


Anazungumza na Waandishi


Anapanda kibasi


Ndani ya kibasi


Wanachama waliokuja kumlaki