Skip to main content

HII NDIO ORODHA KAMILI YA WAGOMBEA TFF NA BODI YA LIGI


TAARIFA KWA UMMA
UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
                                                                 21 JANUARI 2013

1.                   Kamati ya Uchaguzi ya TFF imepitia Fomu za waombaji uongozi wa TFF  na kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za TFF ibara ya 11 (1), (2) na (3), waombaji uongozi wafuatao majina yao na nafasi wanazoomba kugombea yanawekwa wazi kutoa fursa kwa wale wote wenye pingamizi kwa nini mwombaji aliyetajwa hapa chini asiteuliwe kugombea nafasi aliyoomba, wawasilishe pingamizi zao kwa Katibu  Mkuu wa TFF, kuanzia tarehe 22 Januari 2013 hadi tarehe 26 Januari 2013 saa 10.00 jioni.

2.                   Pingamizi sharti liwe kwa maandishi, lieleze kwa uwazi sababu za pingamizi, liambatanishwe na ushahidi wa pingamizi, liwe na jina kamili la mtoa pingamizi, anwani ya kudumu na saini yake.

NAFASI
S/No.
JINA

RAIS WA TFF


1.
Athumani Jumanne Nyamlani
2.
Jamal Emily Malinzi
3.
Omary Mussa Nkwarulo

MAKAMU WA RAIS WA TFF


1.
Michael Richard Wambura
2.
Ramadhan Omar Nassib           
3.
Wallace Karia


MJUMBE WA KAMATI YA
UTENDAJI –
Kanda ya 1 (Kagera, Geita)
1.
Abdallah Hussein Musa 
2.
Kalilo Samson
3.
Salum Hamis Umande Chama


Kanda ya 2 (Mwanza, Mara)
1.
Jumbe Oddessa Magati
2.
Mugisha Galibona
3.
Samuel Nyala
4.
Vedastus F.K Lufano


Kanda ya 3 (Shinyanga, Simiyu)
1.
Epaphra Swai
2.
Mbasha Matutu


Kanda ya 4 (Arusha, Manyara)
1.
Charles Mugondo
2.
Elley Simon Mbise
3.
Omary Walii Ali 


Kanda ya 5 (Tabora, Kigoma)
1.
Ahmed Idd Mgoyi
2.
Yusuf Hamis Kitumbo


Kanda ya 6 (Rukwa, Katavi)
1.
Ayubu Nyaulingo
2.
Blassy Mghube Kiondo
3
Nazarius A.M Kilungeja 
4.
Seleman Bandiho Kameya


Kanda ya 7 (Iringa, Mbeya)
1.
David Samson Lugenge
2.
Eliud Peter Mvella
3.
John Exavery M. Kiteve
4.
Lusekelo E. Mwanjala


Kanda ya 8 (Ruvuma, Njombe)
1.
James Patrick Mhagama
2.
Stanley W. D Lugenge


Kanda ya 9 (Mtwara, Lindi)
1.
Athuman Kingome Kambi
2.
Francis Kumba Ndulane
3.
Zafarani Mzee Damoder


Kanda ya 10 (Dodoma,  Singida)
1.
Hussein Zuberi Mwamba
2.
Stewart Ernest Masima


Kanda ya 11 (Morogoro, Pwani)
1.
Farid Nahdi
2.
Hassan Othuman Hassan
3.
Riziki Juma Majala
4.
Twahil Twaha Njoki


Kanda ya 12 (Kilimanjaro, Tanga)
1.
Davis Elisa Mosha
2.
Khalid Abdallah Mohamed
3.
Kusianga Mohamed Kiata


Kanda ya 13 (Dar es salaam)
1.
Alex Crispine Kamuzelya
2.
Juma Abbas Pinto
3.
Muhsin Said Balhabou   
4.
Omary Isack Abdulkadir
5.
Shafii Kajuna Dauda

3.                   Waombaji uongozi wafuatao  wameondolewa kwenye mchakato wa uchaguzi:

(i)                   Richard Julius Rukambura; Amevunja Kanuni za Uchaguzi  za TFF Ibara ya 10(8) kwa kuomba nafasi  mbili za Rais na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF kwenye uchaguzi  wa TFF.
(ii)                 Titus Osoro; Amejitoa kugombea nafasi ya Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF.

Kamati ya Uchaguzi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania
 
TAARIFA KWA UMMA


UCHAGUZI WA TANZANIA PREMIER LEAGUE BOARD
(TPL BOARD)

1.                   Kamati ya Uchaguzi ya TFF imepitia Fomu za waombaji uongozi wa TPL Board na kwa mujibu wa Kanuni za Uchaguzi za TFF ibara ya 11(1), (2) na (3), waombaji uongozi wafuatao majina yao na nafasi wanazoomba kugombea yanawekwa wazi kutoa fursa kwa wale wote wenye pingamizi kwa nini mwombaji aliyetajwa hapa chini asiteuliwe kugombea nafasi aliyoomba, wawasilishe pingamizi zao kwa Katibu  Mkuu wa TFF, kuanzia tarehe 22 Januari 2013 hadi tarehe 26 Januari 2013 saa 10.00 jioni.

2.                   Pingamizi sharti liwe kwa maandishi, lieleze kwa uwazi sababu za pingamizi, liambatanishwe na ushahidi wa pingamizi, liwe na jina kamili la mtoa pingamizi, anwani ya kudumu na saini yake.



NAFASI INAYOGOMBEWA
S/No.
JINA

MWENYEKITI WA TPL BOARD


1.
Hamad Yahya Juma
2.
Yusufali Manji


MAKAMU MWENYEKITI WA TPL BOARD
1.
Said Mohamed 



MJUMBE –KAMATI YA UENDESHAJI (Management Committee)
1.
Christopher Peter Lukombe

2.
Kazimoto Miraji Muzo

3.
Omary Khatibu Mwindadi



Kamati ya Uchaguzi
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania

Comments