CHARLES KARONGWA NA REHEMA SHILIYE WALIPOMEREMETA

 Hayawihayawi yamekuwa ,Bwana harusi Charles Karogwa wa Msasani Dar es Salaam, akikata keki na Mkewake Rehema Shiliye  baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la Angilikana Msasani na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi a Free Hall uliopo Chuo cha Maji Ubungo jijini Dar es Salaam.
 Bibi harusi Rehema Shiliye akimlisha keki mmewake Charles Kalogwa  baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la Angilikana Msasani na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi a Free Hall uliopo Chuo cha Maji Ubungo jijini Dar es Salaam
Charles Kalogwa na Mkewe wakiwa katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa la Angilikana lililopo  Msasani na kufuatiwa na sherehe kubwa iliyofanyika katika ukumbi a Free Hall uliopo Chuo cha Maji Ubungo jijini Dar es Salaam.