AZAM FC YATETEA UBINGWA MAPINDUZI CUP KWA KUICHAPA TUSKER YA KENYA MABAO 2-1Mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Mapinduzi, Nahodha wa Azam FC, Himid Mao Mkami usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar baada ya timu hiyo kutwaa taji hilo kwa kuifunga Tusker FC ya Kenya mabao 2-1 ndani ya dakika 120.(HABARI /PICHA KWA HISANI YA BONGOSTAZ BLOG)

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akigombea mpira na beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 
Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akimtoka mpira na beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akikimbia na mpira dhidi ya beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 
Mwaikimba akifumua shuti
Mshambuliaji wa Azam FC, Seif Abdallah akimiliki mpira mbele ya beki wa Tusker FC, Bright Jeremiah katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 
Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa beki wa Tusker FC, Joseph Shikokoti katika mchezo wa fainali ya Kombe la Mapinduzi usiku wa leo kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Azam ilishinda 2-1 ndani ya dakika 120 na kutwaa Kombe hilo kwa mara ya pili mfululizo. 
Shuti la bao, Mwaikimba akiwa amefumua shuti kuifungia Azam bao la ushindi
Wachezaji majeruhi wa Azam, John Bocco 'Adebayor' kushoto na Abdulhalim Humud 'Gaucho' kulia wakiingia uwanjani leo
Kikosi cha ubingwa leo
Washindi wa pili Tusker FC kikosi chao cha leo
Nahodha Himi Mao akiinua juu burungutu la fedha, Sh. Milioni 10 za ubingwa 
Mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akimkabidhi donge nono la Sh. 300,000 mfungaji bora wa Kombe la Mapinduzi, Jesse Were wa Tusker FC aliyemaliza na mabao matano usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Binti aliyevamia uwanjani dakika ya 89 akitolewa nje na askari Polisi

Mgeni rasmi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) akimkabidhi Kombe la ushindi wa pili wa Mapinduzi, Nahodha wa Tusker FC, Joseph Shikokoti usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

Polisi wakimtoa nje binti aliyevamia uwanjani dakika ya 89

Azam wakisherehekea na Kombe lao

Mwaikimba akifuaria na mashabiki Kombe lililotokana na juhudi zake 
Azam wakisherehekea na Kombe lao
Brian Umony wa Azam amemuacha chini Joseph Shikokoti wa Tusker FC
Umony na Shikokoti
Mwaikimba aliyeruka hewani kuiga kichwa kwenye lango la Tusker kufuatia mpira wa kona
Mwaikimba mawindoni