AMBER ROSE AKIRI KUFUNGA NDOA NA WIZ KHALIFA


NEW YORK, Marekani
MWIMBAJI Amber Rose amethibitishia umma maneno yaliyokuwa yakizagaa kuwa amefunga ndoa na rapa Wiz Khalifa kuwa yanaukweli.
Alisema kuwa ukiondoa kuwa huyu ni baba mtarajiwa wa mwanangu pia ni mume wangu!!
“Tumefunga ndoa ya siri na kwa sasa ni mtu na mume wake….
Nimekuwa kwa sasa ni mpenzi wa kula ‘ice cream’ aina ya Ninja Turtles kwa sababu mume wangu ni mpenzi wa ice cream wa aina hiyo.”