ZANZI CREAM LIQUER NDICHO KINYWAJI MURUA!!!!

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni  ya Tanzania Distilleries Limited (TDL), David Mgwassa (katikati) wakati wa uzinduzi wa kinywaji kipya  kiitwacho Zanzi Cream Liquer  jijini Dar es Salaam (kulia), Meneja masoko Taifa  Joseph Chibehe  pamoja na    Meneja  Usafirishaji Bavon  wa TDL.
Kinywaji hicho kitapatikana katika ujazo wa mil.750 itauzwa 14 na pakiti za ujazo wa mil.100 kwa sh 1,500.