WANAMITINDO 12 WAPENYA UNIQUE MODEL 2012


---


Jumla ya wanamitindo kumi na mbili wamechaguliwa kuingia katika shindano la kusaka UNIQUE MODEL OF A YEAR 2012 ambapo usaili huo ulifanyika katika Hoteli ya Lamada jumapili.
Wanamitindo hao ni Elizabeth Petty,Phina revocatus,Amina Ayoub,Vivian Gilbert,Mwanaidi Mokitu,Elizabeth Boniface,Magreth M safiri,Berther Beson,Jennifer  Njabili ..........

Wadau kadhaa wakimpa pongezi mkurugenzi wa shindano Methuselah Magese baada ya kazi nzito ya usaili kumalizika.pembeni ni baadhi ya models wasubiri picha za hapa na pale.