SIMBA YAWAKODOLEA JERRY SANTO, KIJIKO

SIMBA ipo mbioni kuwasajili nyota wa kimtaifa wa Kenya Jerry Santo anayekipiga Coastal Union ya Tanga na Kiungo wa Yanga Juma Seif 'Kijiko'.
Taarifa za kuaminika toka klabu hiyo zinaeleza kuwa mazungunmzo baina ya wachezaji hao yanaendelea huku tatizo likiwa kwa uongozi wa Coastal ambao unmewapa masharti magumu ili kuweza kumuachia nyota huyo.