SERENGETI BOYS KWENDA CONGO BRAZAVILLE JUMATANO

TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' keshokutwa inatarajiwa kwenda Congo Brazaville kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kuwania kucheza fainali za Afria kwa vijana wa umri huo.
Katika mchezo wa awali uliopigwa wi9ki iliyopita Serengeti ilishinda bao 1-0.