BONDIA WA ZAMANI, IRAKI HUDU ALIPOMPONGEZA MWANAE KWA NONDOZZ


Iraki Hudu kulia akimpongeza mwanae Danny mara baada ya kula Nondozz
Ni juzi tu kule mjini Dodoma katika shamra shamra za wasomi wa Chuo Kikuu cha Dodoma aka
UDOM, katina baadhi ya wasomo walio chukua Nondoz kijana Dani Hudu, ni mojawapo ya wahitimu
hao.Wazazi ndugu na marafiki wa wasomi pia walishiriki katika shangwe hizo za kula Nondozzzz!
Moja ya wazazi hao alikuwapo bondia mkongwe Bw.Iraki Hudu ambaye ndiye baba mzazi wa
dogo Daniel  Huddu amechukua degree of . Geography and environmental studies,university of dodoma, tanzania
Hongereni sana wasomi wa Udom na wazazi wote