YANGA KAMBINI LEO

MAbingwa wa Kagame Yanga leo inaingia kambini katika hoteli ya Up Lands iliyopo Chngayikenike kwa ajili ya kujiandaa na michezo uyake ya ligi kuu soka Tanzania Bara.