SKYLIGHT BAND KUENDELEA KUTEKA WAKAZI WA DAR KILA IJUMAA @ THAI VILLAGE


Rappa wa Skylight Band SONY MASAMBA akikonga nyoyo za mashabiki wa bendi hiyo ambao wanapata flava za muziki wa kila aina kuanzia Dancehall, Reggae, R & B, Azonto, Sebene na nyinginezo bila kusahau Kwaito.Kushoto ni Rappa mwenzake Joniko Flower.

Joniko Flower kazini.

Malkia wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 na Mary Lukas ( wa kwanza kulia) sambamba na Vijana watanashati wa bendi hiyo Sam Machozi na SONY MASAMBA wakisakata sebene.
Rappa SONY MASAMBA akiimba kwa hisia kali.
Shabiki akimtunza Sam Machozi wa SKYLIGHT Band baada ya kukunwa na uimbaji wake.
Mpango mzima wa masuala ya vinywaji utahudumia na hii Couples inayopendeza kabisa.
Hawa ni Fans wapya wa SKYLIGHT Band waliopita katika kiota cha Thai Village Masaki Ijumaa kuburudika na Band hiyo.
Hawa ni masela wanaohudhuria kila siku ya Ijumaa pale Thai Village.
Mrembo aliyewahi kushika taji la Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na Bishosti wake nao walihudhuria.
Fans wa SKYLIGHT Band.
Mashabiki wakisakata Rhumba lililokuwa likiporomoshwa na SKYLIGHT Band.
Warembo katika pozi mbele ya Camera yetu.
Sisi ni dugu moja na SKYLIGHT Band.
Couple iliyonoga kwa usiku wa Ijumaa kiota cha Thai Village jijini Dar.