SIMBA YANG'ANG'ANIWA TANGA

MABINGWA wa ligi kuu ya Vodacom Simba, hii leo wamesghindwa kufurukuta mbele ya wenyeji Coastal Union ya Tanga na hivyo kulazimisha sare ya bila kufungana katika mchezo uliopigwa katika Uwanja wa  Mkwakwani mjini Tanga.
Matokeo hayo yanaendelea kuiweka Simba kileleni mwa ligi hiyo ambapo sasa imefikisha pointi 17.