SHEREHE ZA MAHAFALI YA KAMALDIN MBUGUNI

 Kamaldin Suleiman Mbuguni akiwa na baba yake Mbuguni na mama yake Ananora katika sherehe ya mahafali ya darasa la saba mwishoni mwa wiki Blog Hii inampongeza na kumtakia safari njema katika maandalizi ya elimu ya Sekondari.
   Kamaldin Mbuguni akiwa na baba yake Suleiman Mbuguni.

 Kamaldin akilishwa keki na binti wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Yanga Iman Madega ambaye  wamemaliza pamoja katika Shule ya Msingi Shree Hindu Mandal. 
 Wazazi wa mtoto Kamaldin (Katikati) kulia ni Baba yake Suleimana Mbughuni na kushoto ni mama yake
 KAMALDIN MBUGUNI akiwa na cheti chake cha kuitimu
 Mahafali ya Shule ya Msingi Hindu Mandal Kijitonyama, Kulia ni mtoto Kamaldin Suleiman Mbughuni
 Hizi ndizo keki za Graduation ya Hindu Mandal