SIMBA, YANGA SARE SARE MAUA

MABINGWA wa ligi kuu soka bara Simba na mabingwa klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati 'Kombe la Kagame' Yanga jana wametoshana nguvu kwa kufungana sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi hiyo uliopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.