MWANAMAMA MDAU WA NDONDI KATIKA HARAKATI ZA UONGOZI WA CCM

REHEMA MBEGU KAMWE-'mrs bigright' kulia akiwa akiwa na kiongozi mwenzake wa uvccm bi MWANAFATMA RUBAI katika viwanja vya karimjee wakati wa mkutano wa mkoa jana.



Katibu wa umoja wa vijana(uvccm) kata ya makumbusho,na Ofisa mahusiano wa bigright promotions bi Rehema Mbegu ambae mara nyingi yupo na vijana katika michezo na shughuli za kijamii na mwenyekiti wa  garden sports centre amesema sasa hivi anaamua kujitosa mzimamzima na mambo ya siasa kwa kugombea nyadhifa zilizo katika chama akianzia wilayani, haya ni kwa mapenzi yake ya chama na kuhakikisha hawatetereki katika kata yake na wilaya ya kinondoni kiujumla katika chaguzi zijazo na kuleta maendeleo ya kweli katika mkoa wa kinondoni na taifa kiujumla.michezo ina nafasi yake na siasa ina nafasi yake hivyo nitaendelea kusaidiana na vijana katika michezo kama kawaida

Comments