HAPPY BIRTHDAY MDAU ANGELA MSANGI WA TBC 1


 Mwandishi wa TBC Angela Msangi leo anatimiza miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake, SPORTS LADY mwenzako nakutakia kila la heri na afya njema katika maisha yako, AMIN!

 Hapa Angela akiwa na mbunge wa Viti Maalum (CCM), Esther Bulaya
 Angela na Dina 
 Angela na Sports Lady mwenzake, Jane John pia wa TBC hapa wako kikazi zaidiEnzi hizooooooooooooooooooooooo, Dina na Angela katika kusaka...HHAHAHA, HAPPY BIRTHDAY MAMAA wa K&L MEDIA SOLUTIONS