HAFLA YA KUMPONGEZA NAOMI MWAKIFULEFULE BAADA YA KUHITIMU OUT ,Naomi Mwakifulefule akimlisha keki  Mtoto wa kaka yake Saharon
Yessaya Mwakifulefule wakati wa Hafala ya kumpongeza  baada ya
kuhitimu Shahada ya Ualimu Utawala na Utanyaji Sera katika Chuo Kikuu
Huria cha Tanzania (OUT)
 Yessaya Mwakifulefule akilishwa keki na mdogo wake Naomi
Mwakifulefule wakati wa hafla ya kumpongeza kwa kuhitimu Shahada ya
Ualimu Utawala na Utanyaji Sera katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
(OUT)  iliyofanyika nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam.

 Muhitimu wa Shahada ya ya Ualimu Utawala na Utanyaji Sera katika
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Naomi Mwakifulefule akimlisha keki mmoja
wa watoto waliohudhuria katika hafala hiyo iliyofanyika Nyumbani kwao
Sinza jijini Dar es Salaam.
  Naomi Mwakifulefule akimpongeza mama yake mzazi kwa kumlea katika
maadiri meme ambayo yamemfanya hadi ahitimu Shahada ya Ualimu Utawala
na Utanyaji Sera Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania Naomi
Mwakifulefule akimlisha keki mmoja wa watoto waliohudhuria katika
hafala hiyo iliyofanyika Nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam.
 .Mtoto  Sharoni akiwa na wazazi wake wakati walipokuwa wakimpongeza
ndugu yao Naomi aliyehitimu Shahada ya ya Ualimu Utawala na Utanyaji
Sera katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania  (OUT) hafala hiyo
iliyofanyika Nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam.
 Marafiki wa Naomi Mwakifulefule wakimvisha kitenge ikiwa ni sehemu
ya kumpongeza kwa kuhitimu Shahada ya ya Ualimu Utawala na Utanyaji
Sera katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania  (OUT) hafala hiyo
iliyofanyika Nyumbani kwao Sinza jijini Dar es Salaam.
.Mama wa Naomi Mwakifulefule BI,Catherine akivishwa kofia na mwanae
Kofia ya Kuhitimu Shahada y ya Ualimu Utawala na Utanyaji Sera katika
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania  (OUT) hafala hiyo iliyofanyika Nyumbani
kwao Sinza jijini Dar es Salaam