EBSS MEDIA UPDATE - 30 OCTOBER 2012

 WACHEZAJI WA NGOMA ZA ASILI WAKIBURUDISHA KABLA YA SHOW KUANZA.
 MENYNAH ATICK, MSHIRIKI ALIYEYAAGA MASHINDANO WIKI HII AKIIMBA.
 NORMAN SEVERINO, MSHIRIKI ALIYEYAAGA MASHINDANO WIKI HII.
 MADAM RITHA AKITOA MAONI JUU YA PERFORMANCE YA MSHIRIKI ALIYEMALIZA KUIMBA
 WALTER CHILAMBO AKIFUNGUKA.


WASHIRIKI TISA WALIOBAKIA KATIKA EBSS WAKIWA JUU YA JUKWAA PAMOJA NA WATANGAZAJI WA EBSS.