BONDIA THOMAS MASHALI NA MEDY SEBYALA WA UGANDA WAPIMA UZITO TAYARI KWA MPAMBANO WAO KESHO J'2


Bondia THOMAS MASHALI kushoto akitunishiana misuri na MEDY SEBYALA wa UGANDA baada ya kupima uzito Dar es salaam leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya kumbukumbu ya baba wa Taifa katika pambano la Ubingwa wa Africa mashariki litakalofanyi ukumbi wa Friends corner hotel siku ya jumapili 14/10/2012a katika anaeshudia katikati ni Rais wa TPBC Onesmo Ngowi ambaye ndie msimamizi mkuu wa mpambano huo


Bondia Jonas Segu akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia mpambano huo wa mabondia chipkizi umefuta isia za watu wengi kwa upande wa wapenzi wa mchezo wa masumbwi nchini .

Bondia Jonas Segu kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho 

Bondia MEDY SEBYALA wa UGANDA akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake naTHOMAS MASHALI litakalofanyika kesho katika ukumbi wa Friends corner hotel pambano la Ubingwa wa Africa masharikipicha na pambano la Ubingwa wa Africa mashariki 
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na jonas Segu kulia utakaofanyika kesho picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com