AZAM FC WAIBANJUA AFRICAN LYON

MSHAMBULIAJI wa Azam Fc John Bocco 'Adeboyor' ameopatia ushindi timu yake dhidi ya African Lyon baada ya kuifungia timu yake bao la pekee katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara.
Adebayor alifunga bao hilo katika mchezio wa ligi kuu soka tanzania Bara uliopigwa katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi jijini Dar es Salaam na kumalizika kwa Azam kushinda bao 1-0.