AIRTEL YAJA NA 'JIPATIE MARA TANO'

MKURUGENZI wa kitengo cha mawasiliano wa kampuni ya simu za mkononi ya airtel, Beatrice Singanmo (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo kuhusna na ofa maalum kwa wateja wa mtandao huo inayokwenda kwa  jina la JIPATIE MARA TANO ambayo itamuezesha mteja wa mtandao huo kuongezwa sal;ia la mara tano zaidi kwa kiwango anachotumia kila siku, mfano ukipiga simu kwa sh.500 utazawadiwa 2500 ambazo zitatumika kwa Airtel kwenda Airtel tu..Kulia ni mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, Sam Elangalloor.