YANGA YAITANDIKA COASTAL UNION 2-1

MABINGWA kombe la Kagame Yanga leo wameitandika Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa kujipima nguvu uliopigwa katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Katika mchezo huo, Coastal ndiyo ilianza kufunga kupitia kwa Razak Khalfan, kabla ya Salim Aziz wa Coastal kujifunga na Said Bahanuzi kuiandikia Yanga la pili