KOCHA MPYA YANGA ASAI NI MKATABA WA MWAKA MMOJA

  Kocha mpya wa Yanga Ernstus Brands akisaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuiona klabu ya Yanga,kushoto ni makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga akimpa maelekezo.Kabla ya kujiunga na Yanga, kocha huyo alikuwa akiifundisha APR ya Rwanda.(Picha zote kwa hisani ya BIN ZUBEIRY BLOG)
 Makamu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga pamoja na kocha mpya wa Yanga wakisikiliza maswali kutokwa kwa waansishi wa habari ambao walihudhuria tukio la Yanga kumtambulisha kocha huyo mpya ambaye atarithi mikoba ya Mbelgiji, Tom Saintfiet ambaye alitimuliwa hivi karibuni.
Dina Ismail na waandishi wengine tulioshuhudia tukio hilo lililofanyika asubuhi ya leo makao makuu ya klabu hiyo yaliyopo mitaa ya Jangwanmi na Twiga.