ITC ZA OCHIENG, KINJE ZATUA

                                                                         Kinje
Ochieng
HATIMAYE hati za uhamisho wa kimataifa (ITC)za wachezaji wa Simba,Pascal Ochien na Salum Kinje zimetua .
Shirikisho la soka Kenya (KFF) limetuma hati hizo za wachezaji hao waliosajiliwa kutoka katika klabu ya AFC Leopards ya huko.
Ujio wa hati hizo utamaliza utata wa uhamisho wa wachezaji hao.