ALLY REHMTULLAH 2013 COLLECTION' MFANO WA KUIGWA.


MC Taji Liundi akitoa utambulisho wa 'Ally Rehmtullah 2013 Collection' iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na mamia ya wadau kutoka ndani na nje ya nchi.

Meneja Masoko wa Kampuni ya CFAO Motors ambao ni Wadhamini wakuu wa 'Ally Rehmtullah 2013 Collection kupitia Brand ya Mercedes Benz Tharaia Ahmed (wa tatu kushoto) sambamba na wadau wa tasnia ya urembo nchini wakati wa Onyesho hilo. Wa nne kushoto ni Aliyewahi kushika taji la Miss Tanzania 2004 Faraja Kotta (Mrs. Nyalandu), Nancy Sumari (Miss World Africa 2005) pamoja Mkurugenzi wa Mtandao wa Bongo5.com Lucas.

Jennifer Bash (katikati) akiwa na marafiki.
Wengine walikaa kwa nje kushuhudia 'Ally Rehmtullah 2013 Collection' kupitia Big Screen zilizofungwa kwenye bustani ya hoteli ya Serena jijini Dar.

Pichani Juu na Chini ni Models wakionyesha Vito vyenye Madini ya Tanzanite yanayochimbwa nchini Tanzania wakati wa raundi ya kwanza ya onyesho la 'Ally Rehmtullah 2013 Collection.(The Tanzanite Experience).
 
Pichani Juu na Chini ni Models wa kiume wakionyesha Mavazi ya Street Souls ambao ni mmoja wa wadhamini wa 'Ally Rehmtullah 2013 Collection'.

Msanii mkongwe wa Muziki nchini Diva Karola Kinasha akitoa burudani kwa wageni waalikwa.

Pichani Juu na Chini ni Models wakionyesha 'Ally Rehmtullah 2013 Collection'.

Mbunifu mahiri wa mavazi nchini Ally Rehmtullah akijitambulisha baada ya Model kuonyesha Collection yake mpya ya Mwaka 2013 katika Onyesho la aina yake katika hoteli ya Serena jijini Dar.
Mboni Masimba a.k.a Kim Kardashian wa Bongo na rafiki.
Mbunifu wa mavazi anayechipukia Jokate Mwegelo a.k.a Kidoti akizungumzia show ya 'Ally Rehmtullah 2013 Collection'.
Designer Ally Rehmtullah, Super Model Fideline Iranga a.k.a Lagy Gaga na Sinta a.k.a JLO wa Bongo.
Ally Rehmtullah na marafiki.
Warembo walipendeza sana.
Swaggaz.
Ally Rehmtullah katika picha ya pamoja na Designer wenzake walioshuhudia Collection yake mpya ya Mwaka 2013.
Mrs. Faraja Nyalandu, Ally Rehmtullah, Nacy Sumari na Sinta wakishow love mbele ya Camera yetu.
Belvedere Vodka walitoa huduma za vinywaji vya aina zote kwa wageni waalikwa.
Wadau waliendelea kupiga picha za kumbukumbu na kumpa hongera Ally Rehmtullah kwa kazi nzuri aliyoifanya.
Meneja Masoko wa CFAO Motors Tharaia Ahmed (kulia) ambao ni wauzaji wa magari aina ya Mercedes waliodhamini onyesho la ‘ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013? akibadilishana kadi na mmoja wa wageni waalikwa kwenye hafla hiyo.
Moja kivutio kikubwa kwa wageni waalikwa kwenye "Ally Rehmtullah 2013 Collection" ni hili gari aina ya Mercedes Benz M CLASS yanayouzwa na Kampuni ya CFAO Motors ya jijini Dar es Salaam.
Marafiki Wapya wa mtandao wa MO BLOG.
Designer Jokate Mwegelo a.k.a Kidoti na mdau.
'Age ain't nothing but a number' We love Fashion.
Warembo waliokuwa wakikaribisha Wageni kutoka kampuni ya DULUX.
Nirvana Crew kutoka EATV Lotus na Deo. Walikuwepo kuchukua matukio, Don't Miss the Show this Tuesday on EATV.
Evelyn na Eskado Bird.
Models walioshiriki Ally Rhemtullah 2013 Collection wakipooza koo baada kazi nzito.
Kwa picha zaidi Bofya hapa BOFYA HAPA