VODACOM ILIVYOWASHEREHESHA WATOTO SIKUKUU YA EID EL FITRBaadhi ya watoto waliojitokeza kusheherekea sikukuu ya Eid-el-Fitri katika  tamasha la watoto la Green Fun party, lilofanyika Fun City Kigamboni jijini Dar es Salaam wakibembea na kufurahia michezo mbalimbali.  Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.(picha na  mpiga picha wetu)