SIMBA YANASA KIFAA KUTOA IVORY COAST

MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania Bara, Simba imenasa kifaa kipya kutoka katika klabu ya Stella Abdjan ya Ivory Coast.
Mwenyekiti wa Simba Alhaj Ismail Aden Rage amesema kwamba nyota huyo ambaye anacheza nafasi ya ushambuliaji anatarajiwa kutua nchini wiki hii.