NI SIMBA V MTIBWA SUGAR FAINALI BANC ABC SUP8R


TIMU za Simba na Mtibwa Sugar ya Morogoro zinatarajiwa kukwaana katika mchezo wa fainali ya michuano ya Banc ABC Sup8r utkaopigwa jumapili katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam.
Simba imetinga hatua hiyo baada ya kuikwanyua Azam FC mabao 2-1, huku Mtibwa Sugar ikifika hatua hiyo baada ya kuigunda Jamhuri ya Pemba mabao 5-0.
Mshindi katyika michuano hiyo ataondoka na kitita cha mil.40 huku mshindi wa pili atapata mil 20.