NGASA APEWA JEZI NO 16, MASHABIKI KIBAO WAMLAKI KLABUNINgasa akionyesha ALIVYOTOKELEZEA na jezi yake namba 16

  Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' akimkabidhi jezi atakayokuwa akiitumia mshambuliaji mpya wa timu hiyo, Mrisho Ngasa


  Kaburu akizungumza kuhsina na Ngasa 
 Ngasa akiwa na begi jipya la rangio ya Simba
Kaburu na Ngasa wakipeana mkono wa shukran i kwa kukamilisha mchakato