NGASA APELEKWA SIMBA SC

KLABU ya Simba imefanikiwa kumnyakua mchezaji wa Azam Fc Mrisho Ngasa kwa dau la shilingi milino 25.
Hata hivyo Ngasa mwenyewe amepinga uamuzi wa kupelekwa Msimbazi kwa madau kuwa hakushirikishwa katika maamuzi