MILOVAN KUTUA BONGO JUMOAMOSI

KOCHA mkuu wa Simba Milovan Cirkovic anatarajiwa kutua nchini Jumamosi usiku kuendelea na kazi yake ya kukinoa kikosi hicho.
Milovan alikwenda kwaoa Serbia kwa mapumziko mafupi baada ya Simba kutolewa katika michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na KAti maarufu kama Kombe la Kagame.
Ofisa habari wa Simba Ezekiel Kamwaga amesema leo kwamba tayari kocha huyo ameshatumiwa tiketi yake ya ndege.
Amesema kikosi cha Simba kimaendelea na mazioeziambapo asubuhi wachezaji wanafanya ufukweni na jioini katika viwanja vya TCC Chang'ombe.