MIL.30 ZAMREJESHA REDONDO SIMBA SC

Ramadhan Chombo'Redondo'
MABINGWA wa ligi kuu Bara Simba Sc wametumia kitita cha Mil.30 kwa ajili ya kumsajili nyota wake wa zamani zamani Ramadhan Chombo 'Redondo' kutoka klabu ya Azam Fc.
Pamoja na dau hilo nyota huyo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili.