LIBENEKE JIPYA LA HABARI ZA DUNIA
Ni matumaini yangu wadau wote mtakuwa nyote mtakuwa salama kabisa, Kwa heshima na Taadhima napenda kuwatambulisha kwenu Blog yangu mpya ya habari za Dunia ambapo mtazipata  katika Lugha mbili, Kiswahili na English pia burudani ,michezo vyote vitakuwepo. Asante kwa wewe uliye tembelea pia mpe taarifa na Mwenzako.
Kutazama Blog hii bofya link hiihttp://www.tabithahudson.blogspot.com