KOCHA MZONGE HASANI AWANOWA MABONDIA WA TIMU YA TAIFA



Kocha wa mchezo wa ngumi Hasan Mzonge akiwaelekeza mabondia wa timu ya taifa ya masumbwi jinzi ya kupiga ngumi zilizonyooka wakati wa mazoezi ya timu hiyo yanayofanyika katika GMY ya Gmykhana Klabu
Hasani Mzonge akimwelekeza mmoja wa Mabondia wa Timu ya Taifa jinsi ya kupishanisha ngumi wakati unapigana.
Makocha wa timu ya Taifa wakiwaonesha mabondia jinsi ya ngumi zinavyopishanishwa wakati wa mchezo kushoto ni Hasani Mzonge na Edward Luyakwipa
Unatakiwa mkono wako unyoshe hivi ndivyo anavyosema Kocha wa mchezo wa ngumi Hasani Mzonge kulia wakati alipokuwa anafundisha mabondia wa timu ya Taifa .
Unapiga uku unatembea ndivyo anavyoelekoza kocha wa mchezo wa masumbwi Hasani Mzonge wakati wa Mazoezi ya Timu ya Taifa ya masumbwi yaliyofanyika leo .picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Comments