KHADIJA KOPA KUPAMBA MISS MWANZA KESHO


AU HII HAPA 
 
Wanyange wa Jiji la Mwanza wanao taraji kupanda jukwaani kesho Ijumaa Agosti 30, 2012 katika ukumbi wa Yatch Club jijini humo kuwania taji la REDD'S MISS MWANZA 2012 wakiwa katika pozi mbalimbali. Shindano hilo linataraji kuwakutanisha miamba wawili wa Miondoko ya pwani, Bibie Hadija Omar Kopa na mkongwe Mwanahawa Alli na mkali mwingine Bob Haisa.
 
Shindano hili linaletwa moja kwa moja na SISI ENTERTAINMENT chini ya udhamini mkubwa kabisa wa Redd's, CxC, Cocacola,RFA,  Star time, Stoper Entertainment, 2 sister Salon, Isamilo Lodge, Photo Spot, mama Nyimbo Decoration, Whitney Fashion na EF Outdoors.