FURAHA YA KUMEREMETA!!!!

 Hayawihayawi yamekuwa Bwana harusi Joshua Madeleka akiwa na Mkewe katika pozi la picha baada ya kufunga ndoa yao hivi karibuni katika kanisa la Morovian Ukonga na kufuatiwa na sherehe kubwa ilityofanyika Landmark Hotel jijini Dar es Salaam.
David Njombe akikabidhiwa zawadi ya TV ya kisasa na Bibi yake Josephine Ndauka baada ya kumpa mafunzo  ya kuishi na mke wakati atakapofunga ndoa  (big Part) David anategemea kufunga ndoa siku ya Jumamosi katika kanisa Katoliki la Mwenge na sherehe itafanyika katika ukumbi wa Delux sinza jijni Dar es Salaam.