BONDIA SANDE KIZITO TOKA UGANDA AWASILI KUMKABILI RAMADHANI SHAURI SIKU YA IDDI PILIBondia Sande Kizito wa Uganda
Bondia Sande Kizito katikati akiwa amewasili katika jiji la Dar es salaam usiku wa leo akitokea Uganda kwa ajili ya mpambanowake na Ramadhani Shauri siku ya Idi pili kushoto ni mwenyeji wake aliyempokea Yasini Abdallah.
Bondia Sande Kizito akiwasili akitokea Uganda kwa ajili ya kumkabiri mpinzani wake Ramadhani Shauri la kugombea ubingwa wa IBF Africa litakalofanyika siku ya Iddi pili.
Bondia Sande Kizito wa Uganda kulia akiwa na kocha wake Bogere Francis baada ya kuwasili usiku wa leo, picha zote na www.superdboxingcoach.blogspot.com