BI.KIDUDE YU HOI, DUA ZETU ZAHITAJIKA
PICHA/HABARI NA MICHUZI BLOG
Licha ya kuwa ametoa mchango mkubwa wa sanaa katika tasnia ya Muziki hapa nchini, wasanii na waandaaji wa matamasha mbali mbali waliokuwa wakimtulia wamemtelekeza msanii maarufu Bi Fatma Binti Baraka (Bi. Kidude) kutokana na hali yake ya kuumwa.ambapo hadi sasa yupo kitandani na hajiwezi.


Ankal naomba uwafikishie ujumbe huu wasanii wote na waandaaji wa matamasha waliokuwa wakifanya kazi na bi Kidude kwani anaumwa sana.

Mdau wa Globu ya JamiiZanzibar