BAHANUZI WA LINDI AKIWA KAZINI SI MCHEZO!!!


 Mchuuzi maarufu wa Korosho na Njugu mkoani Lingi akijulikana kwa jina la Bahanuzi.Kutokana na ubunifu  na nidhamu ya kazi,Bahanuzi huuza kwa wingi bidhaa zake.
 Msamaria mwema akimwelekeza Bahanuzi wapi kwa kupeleka mashambulizi.
Bahanuzi wa Lindi ni kivutio tosha kila apitapo

PICHA/HABARI NA MICHUZI BLOG
Mchuuzi maarufu wa korosho na njugu maarufu kwa jina la Bahanuzi akiwa kazini katika mitaa ya Lindi kama alivyonaswa na kamera ya Globu ya Jamii hivi karibuni. Kutokana na ubunifu wake wa mavazi na nidhamu ya kazi, Bahanuzi huuza korosho na njugu kwa wingi kila aendapo Msamaria mwema akimwelekeza Bahanuzi wapi pa kupeleka mashambulizi Bahanuzi wa Lindi ni kivutio tosha kila apitapo.
Bahanuzi ni mshambuliaji wa mabingwa wa soka Afrika mashariki na Kati, Yanga Sc ambaye aliibuka mfungaji bora wa michuano hiyo iliyomalizika hivi karibuni jijini Dar es Salaam.